Lakini Nando bado anamuangalia Lulu kwa jicho la tatu kama wife material.
Nando amefunguka yote katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times
Fm .
Amesema Lulu ni rafiki yake, lakini ni msichana ambaye anamzimia kwa kuwa anajua kutafuta pesa japo ana umri mdogo.
“Lulu ni mwanaharakati, ni mdogo lakini she knows how to get money.” Amesema Nando.
Aongeza kuwa kutokana na sifa alizonazo za kutafuta pesa pamoja na
uzuri wake, atakapokuwa na mpango wa kuolewa yeye yuko tayari kutulia
nae.
“Kama Lulu akikubali kuolewa, me I settle down….nitatulia kwa Lulu kama akikubali kuolewa…..hata kwa muonekano ni mkali.” Alisikika Nando .
Hivi karibuni Lulu alisema kuwa hana uhusiano wa mapenzi na Nando na ana mpenzi wake mwingine.
Nando pia alieleza uhusiano wake na Dayna Nyange na kudai kuwa ni
rafiki yake tu na wanashirikiana katika video ya wimbo wake mpya,
“nitauza sura mle ndani.”