KAKA AFUMANIWA AKIFANYA MAPENZI NA DADA YAKE TABATA JIJINI DAR

Ni tukio linatokea sasa hivi hapa Tabata mtaa wa Amani. Kaka na dada ambaye wamezaliwa baba na mama mmoja wamefumaniwa katika nyumba yao.

Wazazi wa watoto hao walikuwa wametoka kwa matembezi kurudi ndio wanakutana na mkasa huo. Hivi sasa wananchi wanatembeza kichapo kwa kaka, dada amekimbia hajulikani yuko wapi.

Inasemekana kaka ana miaka 21 na mdogo wake ni 18.

Dunia imekwisha, kaka na dada?

Sijui binadamu tunaelekea wapi?


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo