JUX AZINDUA VIDEO YA WIMBO WAKE WA NITASUBIRI

Msanii wa Bongo Fleva, Jux akitoa burudani kwa mashabiki wake usiku wa kuamkia leo Club Billicanas akizindua Video yake mpya ya Nitasubiri.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akiimba wimbo wake wa Closer ndani ya Billicanas.
Mashabiki wakifuatilia burudani ndani ya Club Billicanas.
Mtangazaji wa Clouds FM, Hamis Mandi aka B12 akiongea jambo.
Msanii wa Bongo Fleva, Mirror ambaye amesainiwa chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu akiwapa burudani mashabiki wake.
...Mashabiki wakijiachia katika redcarpet kabla ya show.
(PATRICK BUZOHERA,MELKIADI OREJE/GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo