FILAMU ZA SHIKAMOO MZEE NA SHAHADA ZAIBUKA KIDEDEA KWENYE TUZO ZA ZIFF

Mtitu akipokea tuzo ya ZIFF kwa niaba ya Claud
 
Filamu ya JB, King Majuto na Shamsa Ford, "Shikamoo Mzee" na "Shahada" aliyoigiza Claud zimeibuka kidedea kwenye tuzo za ZIFF zilizotolewa jana visiwani Zanzibar. 
 14475455931_a95bcd8186_z
Katika tamasha hilo la filamu la kimataifa, Zanzibar limehusisha zaidi ya waongozaji na watengeneza filamu 30 kutoka nchi mbalimbali. 

Filamu za Bongo Movie zimetuzwa na ZUKU. 
 14477600954_cb15c60968_z
ZUKU PEOPLE CHOICE Shikamoo Mzee 

BEST ACTOR Jackson Kabirigi for Kisate and Nguvu ya Imani 

BEST ACTRESS Esha Buheti for Mimi na Mungu wangu 

BEST DIRECTOR Issa Musa Cloud for Shahada 

BEST FEATURE FILM Shahada Issa Musa


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo