kufuatia kuzimika kwa taa za kuongozea magari eneo la Tabata jijini dar es salaam kumepelekea msongamano mkubwa wa magari katika eneo hilo kwa kila mmoja kutaka apite na baadaye magari kufunga barabara
Hadi eddy blog inaondoka eneo hilo kwa kutumia pikipiki magari yalikuwa hayawezi kwenda na kulikuwa na foleni ndefu sana






