Bi. Sechelela Dagaa kutoka ofisi ya ustawi wa jamii wilaya ya Makete akipokea zawadi yake ya ufanyakazi bora.
Bw. Onespholia Ngogo Afisa tawala wilaya ya Makete akipokea zawadi yake ya mfanyakazi bora.
Mzee Leopod Mlowe akipokea zawadi yake ya mfanyakazi bora idara ya elimu.
Mratibu elimu kata ya Lupalilo akipokea zawadi yake ya mfanyakazi bora.
Bw. Mathew Komba akipokea zawadi yake kama mfanyakazi bora wa VETA Makete.
Bi. Elizabeth Sanga akikabidhiwa kitita chake baada ya kuibuka mfanyakazi bora katika idara ya maji.