Ajali
imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea Dar es salaam. Gari ni
kampuni ya Dar Express iliyokua ikielekea Nairobi.. Abiria wengi
wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijajulikana bado
kama kuna aliyekufa. Picha na maelezo haya tumetumiwa na mdau aliyekuwepo eneo la tukio. Tutawajulisha zaidi kwa kadri tutakavyopata habari za tukio hili la kusikitisha
Chanzo: Pamojablog

