Jioni ya Mei 31 mwili wa Director George Tyson umewasili kwenye
hospitali ya Dokta kairuki ambao umehifadhiwa hapo wakati mipango
mbalimbali ya mazishi ikipangwa.
Steve Nyerere ambae ni Mwenyekiti wa Bongo movie amewataka waigizaji
wote wa filamu kukutana nyumbani kwa marehemu George Tyson maeneo ya
mbezi Makonde.
Baadhi ya picha wakati mwili ukiwasili kwenye hospitali ya Dokta kairuki.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi