PICHA ZIKIONESHA MADHARA YA MVUA ZA MASIKA HUKO CHAKECHAKE PEMBA

WANANCHI mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

WANANCHI wa shehia ya Wesha, wakiwa wamekunja suruali zao na kukamata viatu, wakati akivuka katika daraja la pondeani, linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendela kunyesha kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MVUA zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, tayari zimeanza kuleta athari kwa wananchi na vipando vyao, Pichani maji ya mvuo kutoka maeneo mbali ya mji wa Chake Chake, yakiwa yamevamia maeneo ya wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo