Mbunge wa viti maalum unguja kaskazini Bahati Ali Abeid pichani
ameugua ghafla mjini Dodoma na kulazwa katika hospital dodoma baada
kudhaniwa kuwa na ugonjwa DENGUE
Tunaisubiri taarifa ya hospitali ieleze kuwa mbunge huyo anaumwa nini, na tutawajulisha kwa kadri tutakavyozipata taarifa zake