Picha ikionesha gari moja ambalo linateketea kwa moto eneo la Mbezi Luis jijini dar es Salaam, na haikufahamika mara moja ni madhara kiasi gani yamesababishwa na moto huo wala chanzo chake ni nini. Picha na mdau wa Eddy Blog kupitia whatsApp namba +255 713 836 935
PICHA: GARI LIKITEKETEA KWA MOTO MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM
By
Edmo Online
at
Thursday, May 22, 2014
