MSIKILIZE DIAMOND AKIONGEA NA JESTINA GEORGE BAADA YA KUCHAGULIWA KUWANIA TUZO KUBWA ZA BET




Mwaka huu unaonekana kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Diamond PlatinumZ ambaye anazidi kuongeza ukubwa wa CV yake katika muziki kwa kupanda ngazi na majukwaa ya kimataifa.
 
Mshindi huyo wa tuzo saba za KTMA2014 ametajwa jana (May 14) kuwania tuzo kubwa duniani zinazotolewa na Black Entertainment Television (BET Awards 2014) katika kipengele cha Best International Act Africa huku wimbo wake wa My Number One ukiwa umemuwezesha zaidi.
 
“BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA; NUMBER ONE; (TANZANIA) TANZANIAN STAR DIAMOND PLATNUMZ BECAME A GLOBAL FORCE WITH SUCCESS OF HIS HIT ; NUMBER ONE; AND THAT WAVE MAY CONTINUE WITH A WIN FOR BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA.” Waliandika BET kwenye Twitter.
 
Diamond anashindania tuzo hiyo na Davido, Mafikizolo, Sarkodie, TiwaSavage na Toofan.

Baada  ya  uteuzi  huo,Jestina  George  alibahatika  kuwa  mtu  wa  kwanza  kumhoji  Diamond  kuhusiana  na  uteuzi  huo.....

Bonyeza   video  hapo  chini  kusikiliza  mahojiano  hayo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo