MSANII JACKIE PENTEZEN MAARUFU KAMA JAKI WA CHUZI NAYE YUPO HOI HOSPITALI

Msanii wa filamu za kibongo Jackie Pentezen amelazwa hoi hospital ya Agha Khan mjini Morogoro akisumbuliwa na homa ya matumbo, typhod na maralia!

Mume wake Jakie, Dibibi amethibitisha hilo kwa kusema mke wake amelazwa hospitali hapo tangu jana saa 8 mchana na mpaka muda huu bado yupo hospitalini akiendelea na matibabu!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo