MC maarufu Gladys
Chiduo maarufu kwa jina la MC Zipopamba (pichani) amenusirika kifo baada
ya gari kupata ajali na kumuua George Tyson.
Zipompa ameuambia mtadao
huu asubuhi hii kuwa yeye alikuwa kiti cha mbele na Tyson pamoja watu
wengine walikuwa viti vya nyuma na kilichomuokoa yeye ni kufunga mkanda,
kwani licha gari kupinduka na kuzunguruka mara tatu alipata majeraha
kidogo na hali yake inaendelea vyema kwa sasa akiwa hospitali ya Mkoa ya
Morogoro.