Mchungaji
Peter Msigwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini ambaye pia ni mwenyekiti
wa wilaya ya Iringa-Chadema akiweka shada la maua kaburini.
Meya wa
Mji wa Iringa Mjini Amani Mwawindi akiweka shada la maua katika kaburi
la aliyekuwa kada wa Chadema Gervas Kalolo aliyezikwa makaburi ya
Mtwivilla Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa hivi karibuni.
Ndugu wa marehemu wakiweka Mashada ya maua katika kaburi baada ya mazishi. Picha na Mnyalu.