HUYU NDIYE MFANYAKAZI WA IKULU ALIYEFIA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKyXKF_YT7DoZeQbZHveMlqT8ELHzd-wxe7o7UdIXPLCnFZrm398n9qAPVfYs9q6O1yQhRD1nOL1CeRGZ8O1Yk8Nk4egTcgebCbXufGY2ykHfdXFD2yTzyOP0EiuwnHi3HVL4tRDfOX2F-/s1600/IMG_6188.jpg 
Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVclmwir5DaLiOJJucNv5pUMzaS7R_4cC_aaR2RXs9X6Bz0VlThBT0tWdgiQSNZYAtt-sQ6Q5zDruYAu3ffCxqCZFyWR7di4a6vu6n9c7Mp2ZF7iBsYXliKB44hrVfDQBaoKiElxhB5zV1/s1600/IMG_6174.jpg Mwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYBB8HGh8hQephjxFP9PXqitst6Na8jiJext3v8_g7rwd3nzVaeeVwt2pltBmOn9BfeKQNjzLOJgSGgg6QYNlFz3i4tq8ukF0T4UFH5S3v2yEkb_nxZua93aQUoShV5LPAqc4osrUnA6Et/s1600/IMG_6140.jpg Viongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo