GARI LAMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU NA KUMUUA PAPO HAPO HUKO KIGAMBONI


Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Meshak John Lusito amegongwa na gari na kufariki dunia leo eneo la Gezaulole, Kigamboni Dar, aliyemgonga amekimbia na gari lake na inasemekana ni  kiongozi!
(PICHA NA GLOBAL WhatsApp )


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo