skip to main |
skip to sidebar
GARI LADONDOKEWA NA BANGO KUBWA LA MATANGAZO JIJINI DAR, TAZAMA PICHA


Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango
karibu na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara
kuu hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf
course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku
pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa
katika mikoko!PICHA KWA HISANI YA JAMII FORUM
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi