MADEREVA wa
daladala wanaoegesha magari yao eneo la Ubungo, Darajani jirani na njia
panda ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kwenda kituo
kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower.
Madereva
hao wameamua kuwashambulia wenzao walioonekana kutii amri kwa kuwavunjia
vioo vya magari yao jambo lililopelekea polisi kuingilia kati
kuwatuliza. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!
VIA GPL