skip to main |
skip to sidebar
AJALI MBAYA YATOKEA MDA HUU KATI YA GARI NA TRENI ENEO LA KALOLENI/TABOTA PICHA HIZI HAPA
Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kaloleni
Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni
Wanainchi wa eneo hilo wakiwa wanatazama ajali hiyo baada ya kutokea
Taarifa zaidi itawajia Baadae tunafuatilia kama kuna waliojeruhiwa na vifo
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi