Habari mpya ni kuwa Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini amevishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi mil.16 za kitanzania.
Habari zaidi zinadai kuwa Masogange kwasasa ni mjamzito na
alipoenda Afrika Kusini hivi juzi kati kumuambia jamaa aliyempa mimba kuwa
ana ujauzito wake Jamaa huyo alifurahi sana na kumvisha Masongange pete
inayoonekana pichani ambayo Agnes mwenyewe aliweka picha hiyo katika
mtandao mmoja wa kijamii na kuandika maneno yasemayo "mama kijacho".

