Baadhi ya washiriki katika usahili wa watangazaji na ma-DJ wakiwa nje ya jengo la K-NET kawe jijini Daresalaam
mmoja kati ya Ma-DJ washiriki akiwa katika usaili ndani ya studio za 93.7 fm Kawe, Daresalaam
mshiriki katika usaili wa Watangazaji akifanya vitu vyake wakati wa usaili.




