skip to main |
skip to sidebar
MTUHUMIWA WA WIZI AUAWA KIKATILI JIJINI DAR, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI
wananchi wakiangalia maiti ya mtuhumiwa huyo aliyeuawa kikatili huko mbagala jijini dar es Salaam, na haikufahamika mara moja kuwa ametuhumiwa kuiba kitu gani, ila amepigwa kisha kuchomwa moto hadi kufa.
picha zinazofuata hapa chini zinatisha sana, tunaomba radhi kwa atakayekwazika.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi