Ikiwa ni mechi ya kwanza toka Ryan Giggs achaguliwe kuchukua kwa muda
nafasi ya David Moyes alietimuliwa, Manchester United imemiliki
headlines kwa sauti kubwa baada ya ushindi mkubwa ilioupata leo April 26
2014.
Magoli ya Man U dhidi ya Norwich yalifungwa na Rooney kwenye dakika
ya 41 kwa panati na dakika ya 48 huku mawili yaliyobaki yakifungwa na
Mata kwenye dakika ya 63 na 73.
