BASI LA RATCO LAPINDUKA KIBAHA PWANI, ABIRIA WALIONUSURIKA WATOLEWA KUPITIA MADIRISHANI..TAZAMA PICHA HIZI

 Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani leo jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipindukia ubavu baada ya kuacha njia.

Endelea kuungana nasi... Tunaendelea na uchunguzi utapata habari zaidi badaae. 
CHANZO HABARI NA MATUKIO


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo