YULE MBUNGE WA CHADEMA ALIYEKAMATWA KWA TUHUMA ZA RUSHWA IRINGA, YUPO HOI HOSPITALI BAADA YA KIPIGO!!!

Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo.
Mbunge wa Chadema anayedaiwa kupigwa na vijana ambao bado hawajajulikana jana ila habari zinasema ni vijana wa ccm baada ya kumtuhumu anatoa rushwa...


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo