BREAKING NEWS: CCM YASHINDA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA, HAYA NDIYO MATOKEO YA JUMLA

 
 Wanakalenga Jana Wamechagua Mbunge wa Jimbo lao na haya hapa ndiyo MATOKEO YA JUMLA.
 
CCM wamepata Kura 22,962
CHADEMA Wamepata Kura 5,853
Chausta 150.
CCM imeshinda kwa asilimia 79.32%
Chadema kwa Asilimia 20.22%
Chausta Kwa Asilimia  0.52%

Kura halali 28,965, Kura zilizoharibika 576, Kura zilizopigwa 29,541 na Idadi ya wapiga kura walioandikishwa 71, 964!
 
HONGERA GODFREY WILLIAM MGIMWA MBUNGE WA JIMBO LA KALENGA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 32 TU.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo