Msanii
wa Bongo Movie, Wema Sepetu na pia alikuwa ni jaji wa shindano la
kusaka vipaji kwa watoto waliokuwa na umri kuanzia miaka minne(4) mpaka
kumi na tano (15) akizungumza na mshiriki wa shindano hilo la kusaka
vipaji kwa wanaojua kuigiza. Shindano hili limefanyika leo kwenye
viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam na kuwapata watoto watatu waliokuwa wanaitajika.
Jaji
Wema Sepetu akiwa na Jaji mwenzake Aunt Ezekiel walipokuwa wanawafanyia
usahili watoto waliofika kwenye shindano la kusaka vipaji vya watoto
wanaoweza kuigiza.
Msanii
wa Bongo Movie, Wema Sepetu akicheza muziki na mmoja wa washiriki wa
shindano la kusaka vipaji lililofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders.
Director wa shindano la kusaka vipaji, Adam akizungumza jambo
Hawa ndio watoto waliofanikiwa kuingia nusu fainali
Hawa watoto watatu ndio waliofanikiwa kushinda shindano hili mbalo liikuwa linahitaji watoto watatu.