SIMBA YAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA MPYA


Viongozi wa Kamati ya Utendaji ya Simba wakiwa kwenye mkutano wa marekebisho ya katiba.
Mwenyekiti wa Simba SC, Ismail Aden Rage, akihutubia.
Wanachama wa Simba SC wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Matawi ya Simba mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Khamis 'Don King'.
Mwanachama wa Simba akikinukisha kwenye moja ya mjadala wa mkutano huo.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' akiwatuliza wanachama wa Simba (hawapo pichani).
Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la mkutano.
Polisi wakiwa tayari kumkabili mmoja wa wanachama aliyetaka kuleta zogo kwenye mkutano huo.
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' akitoa hoja.
Rage akipongezwa na mmoja wawanachama wa Simba baada ya mkutano.  
Rage na Kaburu wakikumbatiana baada ya mkutano.
 
Rage akipozi na Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Hassan Dalali.
Rage na Dalali wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Simba.

WANACHAMA wa Simba SC leo wamepitisha marekebisho ya Katiba yao katika mkutano uliofanyika kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar.

Mkutano huo ulijumuisha wanachama wote hai wa klabu hiyo pamoja na uongozi wa juu wa Simba wa Mwenyekiti, Ismael Aden Rage na kamati yake ya Utendaji.

Baadhi ya vipengele vya katiba vilirekebishwa kwa kupigiwa kura na wanachama huku vingine kupitishwa moja kwa moja kulingana na hoja zilizokuwa zikitolewa mkutanoni hapo.

(PICHA / HABARI: HANS MLOLI NA SWEETBERT LUKONGE/ GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo