PICHA ZA BASI LA YANGA LILILOINGIA MTARONI LEO HUKO MIKESE MOROGORO


Pichani juu ni taswira za basi la timu ya Yanga SC lililoingia mtaroni eneo la Mikese mkoani Morogoro wakati timu hiyo ikielekea jijini Dar es Salaam baada ya mechi yao ya jana dhidi ya Mtibwa Sugar.

(PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo