DUKA
la kuuza Rasta za wakina Dada (Urembo) limevamiwa na watu waliosadikika
kuwa majambazi, Ni mda mchache uliopita kutoka sasa tangu tukio hilo lijiri maeneo ya Kariakoo jijini Dar Es Salaam,
Kwa
mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba majambazi waliojaribu
kufanya jaribio hilo baadhi yao wameuwawa
Hivyo ndugu msomaji wangu endelea kufatilia hapa.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi