RAIS KIKWETE ATUNUKU TUZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya  Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena  jijini Dar es Salaam jana ijumaa.
(Picha na Freddy Maro)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo