Siku chache baada ya Wakazi wa kijiji cha Lupalilo wilayani Makete mkoani Njombe kupata hasara baada ya moto kuunguza miti yao waliyowekeza katika misitu, wananchi hao wamezungumzia suala hilo
Wananchi hao wameelezea jinsi moto huo unaodaiwa kuanzishwa na mama ambaye ana matatizo ya akili ulivyoanza na walivyoshindwa kuuzima kwa muda wa siku mbili hadi ulipozima wenyewe baada ya kumaliza kuunguza miti yao
Bonyeza play hapa chini usikilize wakielezea