12 WAFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA BAADA YA GARI LAO KUGONGWA NA MALORI HUKO KONGEI-SAME MKOANI KILIMANJARO

Watu 12 waliokuwa wanasafi kuelekea kwenye msiba kwa kutumia gari aina ya Toyota PickUp kwenda katika msiba wa jaama yao kumuhani msiba ulikuwa katika kijiji cha Kongei, Kataya Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro wamekufa papo hapo na
wengine kujeruhiwa vibaya baada ya gari lao kugongwa na malori
mawili ya mizigo.

Ajali hiyo ambayo ilitokea katika muda wa usiku katika barabara kuu ya
-Moshi, Chalinze katika eneo la hedaru ilisabababisha magari matatu
ambayo ni Fuso lenye namba za usajili T 299 ANM likitokea Moshi kwenda
Dar es Salaam na Scania namba T 737 AKW lenye tela namba T 776 CCN
ambalo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Moshi Kwa mujibu wa Kamanda Boaz.Aliwataja waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni Stella John (45), Salma
Kizoka (33), Marry Senzige (49), Neema Daniel (52), Rehema George
(29), Sophia Mbike (51), Mama Ritta Kallani (55), Mama Kallan Stephano
(55), Kolina Mmasa (55), Bahati Daudi (25),
Farida Kiondo (24) na Maria John (33) wote wakazi wa Kongei,Kata yaHedaru,Tarafa ya Chome-Suji. Hata hivyo, miili ya marehemu hao
imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Same.

Hivyo ndugu msomaji wangu Habari kamili endelea kufatilia hapa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo