Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na akishiriki mazishi ya
wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika
jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo.
Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa akishiriki
mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo
yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani
humo.
Baadhi
ya Wananchi wa kijiji cha Kidamali wakishiriki kwenye mazishi ya
wananchi watatu waliofariki kwa ajali ya gari,iliotokea jana,mazishi
hayo yamefanyika jioni ya leo ambapo.Katika mazishi hayo wanachama wa
Chama cha CHADEMA na CCM walishiriki na kutoa ubani wao kwa
wafiwa,ambapo CCM walitoa kiasi cha shilingi Miloni moja na CHADEMA
shilingi Elfu Hamsini.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge jimbo la
Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa wakiteta jambo kabla ya
kwenda kutoa pole na kushiriki mazishi ya Wananchi watatu wa kijiji cha
Kidamali,waliofariki kwa ajali ya gari hapo jana mkoani humo.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge jimbo la
Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa wakiwasili katika kijiji cha
Kidamali kata ya Nzihi,wakati walipokwenda kushiriki mazishi ya Wananchi
watatu wa kijiji hicho waliofariki kwa ajali jana.
Mgombea
Ubunge jimbo la Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa akizungumza
jambo na baadhi ya akina mama waliofika kutoa pole kwenye msiba wa
wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari jana,kwenye kijiji cha
Kidamali kata ya Nzihi na pia kushiriki mazishi yao yaliyofanyika leo
kijijini humo.