Mmiliki
wa Mchele uliothibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya
vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na
waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye
wingi wa tani 26 sawa na kg 2,600 katika Godauni lake kwerekwe Zanzibar.
Mchele
mbovu uliothibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar
ukiwa kweye Godauni Mwanakwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo
nunuliwa.
Wachukuzi wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.
Mmiliki
wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akionyesha Mchele mbovu ulithibitishwa
na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na
majibu hayo, nakusema sio aliouagizia hivyo ameshapeleka madai na
kutakiwa aurudishe ili kupewa haki zake na Kampuni ya Bilal Rice Mills
ya Pakistan. Picha na Makame Mshenga wa Maelezo-Zanzibar.