MCHEZAJI wa KMKM na
timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’, Ali Suleiman Abdi
amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakati wa mvua kubwa
iliyoambatanana na upepo mkali iliyonyesha jana mjini humo!
MCHEZAJI WA KMKM NA ZANZIBAR HEROES ALI SULEIMAN AFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI
By
Edmo Online
at
Wednesday, March 26, 2014