skip to main |
skip to sidebar
HAWA NI CHADEMA KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga (Chadema), Grace Tendega akipokelewa katika kijiji cha Lumuli, Iringa.
Heche akihutubia wananchi wa Lumuli.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma
darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa
kiongozi wa CCM wa kijiji hicho, anavyoonekana bila viatu na sare zake
kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na
mgombea, Grace Tendega, wakizungumza na akinamama wa kijiji cha Lumuli,
katika kikao maalumu baada ya mkutano wa kampeni, zilizofanyika kijijini
hapo jana.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi