DEREVA BODABODA AUAWA NA KUPORWA PIKIPIKI SANYA MKOANI KILIMANJARO..! PICHA 5 ZA TUKIO HIZI HAPA



Tukio hili la mauwaji limetokea jana usiku maeneo ya Sanya KIA mkoani Kilimanjaro mkabala na uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot KIA.

Kijana huyu aliyetajwa kuwa ni Dereva Pikipiki (Bodaboda) alikutwa amekufa huku akiwa na majereha ya mapanga usoni,

Kijana huyu muendesha Bodaboda mkazi wa Kikatiti amekutwa na
Vitambulisho mfukoni vyenye kumtambulisha majina yake Pendaely Nasary inasadikika alinyang'anywa Pikipiki.
Written By Masai Nyotambofu

Imeripotiwa na DJ TINDO kutoka KIA.  NA INASADIKIKA

Polisi wa kituo cha Polisi cha Boma Ng'ombe wakipakia Mwili wa kijana huyo kwenye Gari.

Baadhi ya mashuhuda wakiwa katika Eneo la tukio


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo