Waandishi wa habari watatu, wamejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi huko Beni Kivu kaskazini baada ya
kushambuliwa na waasi wa ADF katika mbuga ya wanyapori ya
Virunga.
Waandishi wa habari hao ni pamoja na Hangi wa redio muungano Oicha , SUBIRI
PATIENT wa redio semuliki Beni NA KENEDY wa redio OICHA.
Mmoja kati yao hali yake ni mbaya, na wawili wanaendelea vyema.
Mungu waponye.
MUNGU IBARIKI TAALUMA YA HABARI.
MUNGU IBARIKI TAALUMA YA HABARI.
