Nachukua fursa hii kumtambulisha msanii mpya wa Tetemesha Records. Anaitwa BARAKA da PRINCE kutoka Mwanza, lakini kwa sasa makazi yake ni Dar ambapo atakuwa hapa moja kwa moja kama makazi yake ya kudumu kikazi.
Amekua
chini ya Tetemesha toka mwaka jana lakini kwa kawaida kabla ya kumtoa
hadharani msanii mpya hua kuna utaratibu wa ndani katika hatua za
kumuandaa ndio sababu ninamtambulisha sasa.
Tegemeeni Video na
Audio muda si mrefu kutoka sasa, Video imefanywa na Nisher. Itatangulia
kutoka video kisha baada ya wiki itafuata Audio.
Mawasilano ya Barakah:
Simu: 0714 321086
Insta: @barakah_daprince
Twitter: @barakahdaprince
FB: Barakah da Prince
Best Regards
Kidboy