Basi
la Bunda lililokuwa linatoka Dodoma kuelekea Mwanza limegonga kichwa
cha Treni kilichokuwa kinatoka Aghondi Itigi na kusababisha kifo cha
abiria mmoja na wengine kujeruhiwa vibaya.
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni amethibitisha abiria mmoja kufariki kwenye ajali hiyo.
Mwakilishi
wa mtandao wa habari wa MOblog yuko njiani kuelekea eneo la tukio…
Kwa
taarifia zaidi na picha ni hapo baadae kidogo, endelea kuperuzi mtandao huu….
Pichani ni kichwa cha Treni ambacho hakihusiani na ajali hiyo.