Kulingana na habari za awali tulizo nazo bus hilo la Bunda limefumaniwa
kwenye kivuko cha treni na kugongwa.
Mpaka sasa ni watu 4 wamethibitika
kufa na tunaendelea kufuatilia habari zaidi juu ya tukio hilo ikiwemo
sababu ya msingi ya kusababisha ajali hiyo.
Tutaendelea kuwajuza zaidi
chochote kitakachojiri ikiwemo kuwawekea picha tutakazojaaliwa kuzipata
nzuri.