Baadhi ya vijana waliokamatwa katika vurugu hizo wakiwa chini ya ulinzi.


Baadhi ya majeruhi katika waliojeruhiwa kwenye vurugu hizo.
Vijana wakiwa tayari kupambana na polisi.

Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la msikiti wa Musa mtaa wa Majengo, Mombasa.
Mojawapo ya gari likiteketea kwa moto wakati wa vurugu hizo.
VURUGU wakati wa msako wa polisi katika msikiti wa Musa mtaa wa
Majengo, Mombasa nchini Kenya umesababisha vifo vya watu watatu akiwepo
polisi wakati wengine wengi wakijeruhiwa.
Vurugu hizo zilitokea kuanzia juzi Jumapili baada ya polisi kuvamia msikiti huo uliodaiwa kuhubiri itikadi kali za kiislamu.
Katika msako huo vijana zaidi ya 100 wamekamatwa na jana walifikishwa
mahakamani kujibu makosa ya kujihusisha na vitendo cha kigaidi.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi