HATARI SANA: WANAFUNZI ST ANNE MARIE ACADEMY DAR ES SALAAM WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA WA MALI ZA SHULE



Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
 Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.(Picha na Father Kidevu Blog)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo