skip to main |
skip to sidebar
MZEE MWINYI AZINDUA MPANGO ENDELEVU KWA WAKULIMA
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu
na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa
bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, anaeshuhudia
kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary
Kariati aliyefanyikisha mradi huo na kununua trekta 15 kwa ajili ya
wakulima nchini. Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam
jana.
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiwasha Trekta ikiwa ni
ishara ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima
yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa
benki ya KCB Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni
jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya
kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati aliyefanyikisha mradi huo na
kununua trekta 15 kwa ajili ya wakulima nchini.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiangalia moja ya
Trekta kati ya15 kabla ya kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha
mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano
na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw. Omary
Kariati. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es
Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiongea wakati wa
hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima
yeyote hapa nchini kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa
benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya ya kondoa
mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati wa pili kushoto. Hafla hiyo ilifanyika
nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wakulima wa kata ya Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma
wakimsikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (hayupo
pichani) akiongea wakati wa makabidhiano rasmi ya Trekta 15 kuzindua
mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchni kupata trekta
kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata
ya Kwadelo Bw. Omary Kariati.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akisalimiana na
Mkurugenzi wa ushirikiano wa kibenki wa benki ya KCB Tanzania, Bw.Frank
Nyabundege (kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na
endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchini kupata trekta kwa
bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata
ya kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw. Omary Kariati (kulia).
Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi