Inasemekana kuwa mtoto huyo mara baada ya kuamka asubuhi ,baba yake
mzazi alimwambia aende chooni kujisaidia kama ilivyo ada kwa wazazi
wafanyavyo kwa watoto wao,Mtoto John(4)alikwenda chooni.
Baada ya kimya cha muda mrefu kutawala baba wa mtoto huyo
alielekea sehemu ya choo,lakini katika hali ya kusikitisha alikuta mwili
wa mtoto huyo ukielea kwenye maji machafu akiwa tayari amepoteza
maisha.