Wachezaji wa Arsenal wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya 16.
Lukas Podolski akiifungia Arsenal bao la pili katika dakika ya 47 ya mchezo.
Steven Gerrard akifunga bao pekee kwa Liverpool kupitia mkwaju wa penalti dakika ya 59.
Daniel Sturridge akijaribu kuifungia LIverpool bila mafanikio.
TIMU ya Liverpool imekubali kipigo cha bao 2-1 dhidi ya Arsenal
katika mechi ya Kombe la FA iliyomalizika hivi punde Uwanja wa Emirates,
London! Mabao ya Arsenal yamefungwa na Oxlade-Chamberlain na Lukas
Podolski wakati la Liverpool likifungwa na Steven Gerrard kwa mkwaju wa
penalti.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi