skip to main |
skip to sidebar
AZAM YAONDOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
TIMU
ya Azam FC imeondolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika
baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ferroviario de Beira ya Msumbuji. Kwa
matokeo hayo, Azam imeondolewa kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya kwanza
iliyopigwa Chamazi, Dar kushinda bao 1-0 .
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi