Hili ni rundo la baadhi ya samani (madawati viti na vitanda) ambavyo vimevunjwa na wanafunzi wa shule ya sekondari Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe. Hali hii imepelekea wingi wa samani hizi kuharibika mno kisi cha kutofaa kutumika tena, matokeo yeke wazazi wanaendelea kulipia fedha ya madawati au viti vipya kutokana na huu uzembe wa wanafunzi, je wazazi/wazazi mbona hawaonewi huruma na wanafunzi ama uongozi wa shule kwa kupanga mikakati thabiti ya kuzuia ama kupunguza tatizo hili? (Picha na Eddy Blog)
KAMA WEWE NI MZAZI NA WANAO MWANAFUNZI AMEFANYA HIVI UTAMFANYAJE?
By
Edmo Online
at
Friday, February 14, 2014